Jengo lefu ni lile linaloanzia japo mita 35(miguu 115).
Hapa leo nakuletea mtiririko wa miji 25 yenye majengo marefu mengi duniani.
1.HONGKONG, CHINA maghorofa 7,685
2.NEW YORK CITY, USA maghorofa 5,924
3.SAO PAULO, BRAZIL maghorofa 5,667
4.SINGAPORE, maghorofa 4,368
5.MOSCOW, RUSSIA maghorofa 3,273
6.SEOUL, SOUTH KOREA maghorofa 2,877
7.TEHRAN, IRAN maghorofa 2,804
8.TOKYO, JAPAN maghorofa 2,702
9.RIO DE JANEIRO, BRAZIL maghorofa 2,564
10.ISTAMBUL, TURKEY maghorofa 2,148
11.TORONTO, CANADA maghorofa 1,868
12.ST. PETER'SBURG, RUSSIA maghorofa 1,770
13.BUENOS AIRES, ARGENTINA maghorofa 1,709
14.KIEV, UKRAINE maghorofa 1,531
15.LONDON, ENGLAND maghorofa 1,478
16.OSAKA, JAPAN maghorofa 1,463
17.MEXICO CITY, MEXICO maghorofa 1,364
18.MUMBAI, INDIA maghorofa 1,223
19.MADRID, SPAIN maghorofa 1,127
20.CHICAGO, USA maghorofa 1,125
21.CARACAS, VENEZUELA maghorofa 1,109
22.BANGKOK, THAILAND maghorofa 1,106
23.RECIFE, BRAZIL maghorofa 1,103
24.SANTIAGO, CHILE maghorofa 1,094
25.SHANGHAI, CHINA maghorofa 990
HIYO NDIYO MIJI INAYOONGOZA DUNIANI KWA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA MAGHOROFA.
JARIBU KUPATA PICHA NI OFISI NGAPI ZINAPATIKANA KATIKA MAJENGO HAYO, NA NI WAFANYAKAZI WANGAPI WAMEAJILIWA KATIKA OFISI HIZO?
NI WAKAZI WANGAPI WANAKAA KATIKA MIJI HIYO?
JE, HILI JIJI LETU LA DAR UNADHANI LINAWEZA KUWA NA MAGHOROFA MANGAPI?
OFISI NGAPI ZINAPATIKANA HAPA?
WAFANYAKAZI WANGAPI WAMEAJILIWA KATIKA JIJI HILI?
0 comments:
Post a Comment