Barabara zitakazokuwa zinatumiwa na waendesha baiskeli pamoja na watembea kwa miguu.
Na hili ndilo daraja litakalokuwa linatumika kuvusha magari kutoka ng'ambo moja hadi nyingine.

Hapa ni eneo la kupumzikia ambalo kwasababu ya ukijani wake linaitwa green zone.             

Ramani hii inaonyesha mtandao wa green zones zote zitakazokuwa zinatumiwa kwa mapumziko.

Na hii ni moja ya taswira ya eneo la kupumzikia...


Hapa ni eneo la viwanda vya uzalishaji...


Ramani inaonyesha sehemu umeme utakapokuwa unazalishwa. 

Mpango wa usamabazaji wa maji safi kwa wakaazi.


Sasa hapa wanaonyesha jinsi yale maji taka kutoka katika chemba za raia mfumo wake utakavyokuwa.


Mpango wa kukusanya maji taka kutoka kwa wakaazi. 



    Mpango wa kukusanya taka ngumu kutoka kwa wakaazi.

Wee!! Hiki kitu si mchezo bwana.

Tuangalie sasa jinsi mji mdogo utakavyo gawanywa.
Angalia utakavyopangika...

Eneo maalumu kwa ajili ya biashara za kimataifa.

Eneo la ofisi pamoja na bustani zake za kupumzika wafanyakazi.

Haya ndio majengo ya ofisi za biashara za kimataifa yatakavyoonekana kwa juu.




Hili eneo litatengwa kwa ajili ya viwanda vya uzalishaji.



Na hili ndio eneo la bandari litakavyokuwa.

Eneo litakalotengwa kwa ajili ya utalii.
Taswira kali kabisa hii...ni eneo la mapumziko hapa.
Sasa hapa ndio eneo la viwanja vya serikali amabalo litatumika kutoa burudani na ujumbe mbalim mbali kwa wananchi. 
Sijui kama siku moja Diamond Platnumz atafanya onyesho au vipi.!!


Sasa hili ndio eneo lile litakalo toa wasomi wa taifa letu.


Jinsi maegesho mbali mbali ya magari yatakavyokuwa. 
Mungu wetu bariki iwe hivi kwa kweli...
Mgawanyiko wa maeneo ya makaazi ya watu.





Aisee, acha iwe hivyo bwana...tutafaidije.




Yaani!! hadi sky baloons ndani ya nyumba!!...
Kwa wewe unayesoma ombea ofisi yako iwe kati ya
 majengo haya.

Sasa shuhudia mijengo ya raia itakavyokuwa...
hapa maisha bora nayaona yale kwasababu sioni 
dalili ya kunguni kuishi karibu na hapo.

Ona taswira ya mtaa hiyo....huu mji utatisha bwana.



Sasa hapa zinaainishwa hatua kwa hatua jinsi ujenzi utakavyoanza mpaka kukamilika kwake.


Hapa unaonyeshwa hatua zote na mpaka mradi utapokamilika.


Mpango wa kujenga nyumba 16,000 kwa wakaazi 
100,000.

Endelea kutamanishwa...na kijani kibichi cha 
kupumzikia hicho.

Taswira ya majengo na daraja kwa mbali jinsi 
yanavyovutia.

Pata picha kamili kwa juu sasa...

Kauli ya Rais kuhusu ujenzi wa mji huu. 

Na hapo chini ndiyo video inayoonyessha mpango mzima utakavyokuwa.






















Share this post:

Digg it StumbleUpon del.icio.us Google Yahoo! reddit

0 comments:

Post a Comment

 
Copyright 2013-2017 Lisha Ubongo
| Branded by www.pixelbase.co.tz