Ni vigumu kuamini inakuaje mtu anatumia mamilioni ya pesa kwa kununulia gari la kutembelea.

Kwa mtazamo wa watu wengi tunaona kana kwamba huyu mtu hana matumizi mazuri ya pesa anazopata.

Lakini uhalisia umeonyesha kuwa binadamu wengi tunaowaza hivi, tunapokuja kupata nafasi na pesa uamuzi wa kununua 
gari kadhaa zipambe gereji ya nyumbani unapita bila shida.

Hapa leo hebu tujaribu kuona gari kumi za gharama zaidi duniani:

1.BUGATTI VEYRON SUPER SPORTS:


Thamani yake ni dola 2,400,000 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 3  za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi ya 0 mpaka 60 katika muda wa sekunde 2.5 na spidi ya juu kabisa ya maili 267 kwa saa 1.

2.ASTON MARTIN ONE-77 na PAGANI ZONDA CLINQUE ROADSTER:



Ina thamani ya dola 1,850,000 sawa na shilingi bilioni 3 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi ya 0 mpaka 60 katika sekunde 3.4 na spidi ya juu kabisa ya maili 220 kwa saa 1.




Ina thamani ya dola 1,850,000 sawa na shilingi bilioni 3 za Tanzania.
ina uwezo wa kutoka spidi 0 mpaka 60 katika sekunde 3.4 na spidi ya juu kabisa ya 217 kwa saa 1.

3.LAMBORGHINI REVENTON na KOENIGSSEG AGERA R:




Ina thamani ya dola 1,600,000 sawa na bilioni 2.5 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi 0 mpaka 60 katika sekunde 3.3 na spidi ya juu kabisa ya maili 211 kwa saa 1.



Ina thamani ya dola 1,600,000 sawa na shilingi bilioni 2.5 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi 0 mpaka 60 katika sekunde 2.8 na spidi ya juu kabisa ya maili 260 kwa saa 1.

4.MAYBACH LANDAULET:




Ina thamani ya dola 1,380,000 sawa na shilingi bilioni 2.1 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi ya 0 mpaka 60 katika sekunde 5.2 na inasemekana ndio gari la starehe zaidi kuwahi kutengenezwa.

5.ZENVO ST1:




Ina thamani ya dola 1,225,000 sawa na shilingi bilioni 2 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi ya 0 mpaka 60 katika sekunde 2.9 na spidi ya juu kabisa ya maili 233 kwa saa 1.

6.HENNESSEY VENOM GT:




Ina thamani ya dola 1,100,000 sawa na shilingi bilioni 1.7 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi ya 0 mpaka 60 katika sekunde 2.5

7.McLAREN F1:




Ina thamani ya dola 970,000 sawa na shilingi bilioni 1.5 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi 0 mpaka 60 katika sekunde 3.2 na spidi ya juu kabisa ya maili 240 kwa saa 1.

8.FERRARI ENZO:




Ina thamani ya dola 670,000 sawa na shilingi bilioni 1.04 ya Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi 0 mpaka 60 katika sekunde 3.4 na spidi ya juu kabisa ya maili 217 kwa saa 1.

9.PAGANI ZONDA C12F:




Ina thamani ya dola 667,321 sawa na shilingi bilioni 1.03 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi ya 0 mpaka 60 katika sekunde 3.5 na spidi ya juu kabisa ya maili 215 kwa saa 1.

10.SSC ULTIMATE AERO:




Ina thamani ya dola 654,400 sawa na shilingi bilioni 1.01 za Tanzania.
Ina uwezo wa kutoka spidi ya 0 mpaka 60 katika sekunde 2.7 na spidi ya juu kabisa ya maili 257 kwa saa 1.




HAPA CHINI NI AINA YA MAGARI YA THAMANI AMBAYO MENGINE KATI YAO HAYAJAWEZA KUINGIA KUMI BORA LAKINI YANA THAMANI KUBWA PIA.

HAYA MAJINA YANA LINK KWA HIYO UKI-CLICK YATAKUPELEKA KATIKA MAONYESHO YA MAGARI YA KAMPUNI HIZO.























Share this post:

Digg it StumbleUpon del.icio.us Google Yahoo! reddit

0 comments:

Post a Comment

 
Copyright 2013-2017 Lisha Ubongo
| Branded by www.pixelbase.co.tz