Wasifu(CV) ni mfumo unaotumiwa na waajili wengi katika kuangalia kama aliyetuma maombi anafaa kuajiliwa au la.
Yawezekana kabisa ukawa mzuri katika kufanya kazi kwa vitendo lakini kama CV yako ni mbaya ni nadra sana kwa muajili kukupa ajira.
Hilo ndilo linalotuchanganya wengi wetu, na kujiuliza kwa nini hatujaitwa katika usaili na maombi tulishatuma!
Ukiiandaa CV yako katika mfumo  unaokubalika na waajili lazima utawashawishi kukuita katika usaili.
 Sasa hebu tuangalie mfumo ambao CV inapaswa ikae.
Curriculum Vitae Format
Your Contact Information
Name
Address
Telephone
Cell Phone
Email
Personal Information
Date of Birth
Place of Birth
Citizenship
Visa Status
Gender
Optional Personal Information
Marital Status
Spouse's Name
Children
Employment History
List in chronological order, include position details and dates
Work History
Academic Positions
Research and Training
Education
Include dates, majors, and details of degrees, training and certification 
High School
University
Graduate School
Post-Doctoral Training
Professional Qualifications
Certifications and Accreditations
Computer Skills
Awards
Publications
Books
Professional Memberships
Interests

Share this post:

Digg it StumbleUpon del.icio.us Google Yahoo! reddit

0 comments:

Post a Comment

 
Copyright 2013-2017 Lisha Ubongo
| Branded by www.pixelbase.co.tz