“Usimamizi wa ubora, usalama, hadhi, mahusiano, ushirikiano, na sera ya ofisi ni mambo muhimu ya kumfanya mfanyakazi aridhike na mazingira yake ya kazi” Mwisho wa kunukuu maneno ya msomi wa...
Je, unajua waajiri wakati mwingine hulipa kiwango kikubwa Cha mshahara kwa kuwa mwajiriwa ana elimu sahihi na uzoefu? Je, unaweza kuwa na uwezo wa kupata mshahara mkubwa kwa kufanya kazi moja...
“Hakuna binadamu mkamilifu”, huu msemo hatujaanza kuusikia leo, ila ni wachache kati yetu tunaoweza kuupa maana yake kamili pale ambapo kuna kosa limefanyika iwe na mtu mwengine au sisi wenyewe. Ukiwa...
Acha ukweli usemwe, furaha ya kweli si kutokuwa na matatizo, lakini ni uwezo wa kukabiliana nayo kwa ujasiri. Mara zote angalia kile ulicho nacho mkononi, badala ya kufikiria ulichopoteza. Sababu...
Ukikutana na mtafuta ajira kilio chake kikubwa ni nimefanyiwa usaili mara nyingi ila baada ya hapo sijaitwa tena. Waajiri huwa wanatumia vigezo gani katika kujaza nafasi za kazi katika ofisi...
 
Copyright 2013-2017 Lisha Ubongo
| Branded by www.pixelbase.co.tz